ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 22, 2012

WADAU NDANI YA THE SiGN - LIBRA PARTY YAPENDEZA MOTO LOUNGE

Mmoja wa Libra Mrs. Ubao (Wa kwanza Kushoto) akipata tabasamu la nguvu

Wadau wakiserebuka
 Kama kawaida ndugu zetu wa Uganda wakiongozwa na Warrior (Mwenye Sharti Jeupe) walikuwapo
 Mabinti wa Ukweli kama kawaida ndani ya Moto Lounge
Maflowers wa kumwaga kama kawaida ndani ya Moto Lounge
Wadau katika Picha ya Pamoja ndani ya Moto Lounge

No comments: