ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 11, 2012

ABDALLAH KITWALA BIRTHDAY

Abdallah Kitwala Boss wa Vizion One Inc. akiwa na mama mwenye nyumba wake kwenye Birthday yake aliyofanyiwa na wafanyakazi wake bila yeye kujua na kumshirikisha Brigedia Jenerali Maganga kumualika kama mgeni kwenye party ya kuvunja kamati ya Kitchen party ya binti yake iliyofanyika Sept 29, 2012 kwenye ukumbi huo wa Oxford, Lanham, Maryland. Brigedia Jenerali alimpigia simu Abdallah, bahati mbaya hakupokea na ndipo Brigedia Jenerali alipomtumia ujumbe kwa Text Msg na abdallah akarudisha simu na Brigedia akamualika aje kuvunja kamati kumbe haikua hivyo ilikua ni birthday yake. Happy Birthday Abdallah Kitwala.
Wafanyakazi wa Vizion One Inc. wakicheza pamoja na mkula wao wa kazi kwenye sharehe yake waliyomfanyia Jumamosi November 10, 2012 kwenye ukumbi wa Oxford Lanham, Maryland.
Wafanyakazi wakipata picha ya pamoja na mkula wao Abdallah Kitwala.
Abdallah Kitwala (kushoto) pamoja na mama mwenye nyumba wake wakipata picha ya pamoja na wageni waliojumuika pamoja kwenye Birthday yake aliyofanyiwa na wafanyakazi wake Jumamosi November 10, 2012 Lnham, Maryland.
Brigedia Jenerali Maganga akiwa na mama mwenye nyumba wake Love Maganga. Brigedia Jenerali Maganda ndie aliyemuingiza kingi Abdallah alipomrubuni anamualika kwenye sherehe za kuvunja kamati ya Binti yake.
Dj Seif the one and only in DMV ndiye aliyekua Dj kwenye Birthday ya Abdallah Kitwala.
Keki ya Bithday.
John Sitta akipata picha alipokua kwenye Birthday ya Abdallah Kitwala.
Wageni waliojumuika pamoja kwenye Birthday ya Abdallah Kitwala wakipata picha ya pamoja.
Wageni waalikwa katika ukodak moment.
Kwa picha zaidi bofya read more


1 comment:

Anonymous said...

safi saaaaaaaaaaaaana. you hv to live your life guys......very good