ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 13, 2012

JK AKIPIGA KURA DODOMA LEO

Mgombea wa Uenyekiti wa CCM, Taifa, Rais Jakaya Kikwete akipiga kura kuchagua wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, jioni hii, kwenye ukumbi wa Kizota, Dodoma. Kulia ni Mgombea Umakamu Mwenyekiti (Bara) Philip Mangula na watatu kulia ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni.

No comments: