ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 13, 2012

KIGHOROFA CHA BODABODA

3 comments:

Anonymous said...

Hi hatari sasa. Kama wametoa leseni kwa hii basi bora wawaambie watu kuwa "tumetoa leseni ya kuhatarisha maisha yenu" Je wanayo aidia ya "center of gravity"?

Anonymous said...

mbona watatumalizia ndugu zetu jamani. this is a serious lethal weapon

Anonymous said...

Lol,mambo ya kuiga hayo. Jamani TBS wako wapi. Hii sasa inakuwa jokes ya hali juu.