ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 12, 2012

MA-BARTENDER WA DMV

 Evans na Didi wasaidizi wa Bar wakifanya kazi yao nzuri kwenyeBirthday ya Abdallah 
Evans (shoto) akiwa na Didi kwenye Birthday ya Abdallah Jumamosi November 10, 2012. Evans na Didi ni wakaazi wa DMV na sasa imeishazaoeleka kwamba wao ndio Ma Bartender wa kutumainiwa hapa DMV, wanaipenda kazi yao na hufanya bila kinnyongo ndio maana kila party utawakuta wao wapo Bar.

No comments: