ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 5, 2012

MISA YA KISWAHILI DMV

 Watoto Briana, Bryan na Bryton walipozi kwa picha katika ukumbi wa kanisa katoliki la Mt. Edward,Baltimore,Maryland baada ya ibada ya kuwakumbuka marehemu.
 Mtoto KageBriana Binti wa Bernadeta Kaiza akisoma somo la kwanza kwenye misa ya kuwakumbuka marehemu katika kanisa katoliki la Mtakatifu Edward,Mjini Baltimore Maryland iliyoongozwa na Padre Evod Shao.
Watoto Cathy,Monah na KageBriana wakila chakula katika ukumbi wa kanisa la Mt.Edward,Baltimore,Maryland baada ya ibada ya kuwakumbuka marehemu.

No comments: