ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 15, 2012

Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous alonga na wanahabari

 Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous akielezea kwa waandishi wa habari kuhusiana na onyesho lake la Kanga ya kale linatakalofanyika Ijumaa ijayo ya Novemba 23, Kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam , kulia ni Mkurugenzi wa Mabibo Beer Benadicta Rugemalila pamoja na ...... ambao ni wadhamini wakuu wa onyesho hilo

2 comments:

Anonymous said...

Hey Mheshimiwa DJ, samahani sana naomba kuuliza. Jumamosi hii (11/17/2012) ni wewe unapiga Seska lounge au ni mtu mwingine?

VIJIMAMBO said...

sio mimi mkuu ni mtu mwingine