Naima Shariff (kulia) akiwa na mpambe wake Vai kwenye Kitchen party yake iliyofanyikia Bethesda, Maryland, Jumamosi ya November 10, 2012. Harusi itafanyika Tanzania December mwaka huu.
Mama mzaa chema Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar akicheza pamoja na mwanae Bi harusi mtarajiwa, Naima wakati alipokua akiingia ukumbini kwenye kitchen party yake iliyoandaliwa na wafanyakazi wakishirikiana na maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Wageni waalikwa wakijumuika na Bi harusi mtarajiwa wakati alipokua akiigia ukumbini kwenye kitchen party yake iliyofanyika Jumamosi November 10, 2012.
.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Maajar akimpokea mgeni wake Balozi wa Botswana nchini Marekani Mhe. Tebelelo Mazile Seretse ambaye nae alikua mmoja ya wageni waliohudhuria kitchen party ya Naima iliyofanyika Jumamosi November 10, 2012.
Balozi Mwanaidi Maajar katika picha ya pamoja na Balozi Tebelelo Seretse (kulia) ambaye ni balozi wa Botswana nchini Marekani
Mhe. Mwanaidi Maajar akimtambulisha Balozi wa Botswana kwa Maafisa na wake zao wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
kutoka kushoto ni Mhe. Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Tebelelo Seretse, Balozi wa Botswana nchini Marekani na Mhe. Amina Salum Ali, Balozi wa African Union nchini Marekani wakiwa meza kuu wakati wa kitchen party ya Naima (hayupo pichani) iliyofanyika Jumamosi Novenber 10, 2012, Bethesda, Maryland.
Balozi Mwanaidi Maajar akiongea jambo na kaimu Balozi Lilian Munanka
Wageni waalikwa wakiongea jambo huku Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Mwanaidi Maajar akiwasikiliza.
Naima akimlisha keki mama yake
Naima akimchum mama yake baada ya kumlisha keki.
kwa picha zaidi bofya read more
2 comments:
MAREKANI KUNA WASICHANA WAZURI SANA. CHEKI WANAVYO WAKA WAKA
lol ^^^^^^^
Post a Comment