ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 28, 2012

PICHA KIBAO ZA MAZISHI YA SHARO MILIONEA LEO MCHANA


Mama yake mzazi Sharo Millionea akiwa ameshikwa baada ya kuishiwa nguvu baada ya kutoka mochwari kuchukua mwili wa mwanae.
(kwa picha zaidi bofya read more)
Twende huku mzee...! Msanii wa vichekesho ambaye ni mshirika wa karibu wa marehemu Sharomilionea, King Majuto (kushoto) akiongozwa na muigizaji JB wakati wa shughuli za mazishi ya Sharomilionea leo mchana kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga.
Jeneza la marehemu Sharomilionea kabla ya kupelekwa makaburini na mwili wa marehemu kuzikwa kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga leo Novemba 28, 2012.
Waombolezaji wakiwa katika ibada ya sala ya jeneza la marehemu Sharomilionea katika kijiji chao cha Lusanga, Muheza mkoani Tanga leo Novemba 28, 2012.
Mwili wa marehemu Sharomilionea ukiswaliwa kabla ya kuzikwa leo mchana (Novemba 28, 2012) kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga.
Baadhi ya waombol;ezaji waliojitokeza kumzika Sharo Milionea kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga leo Novemba 28, 2012.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Sharomilionea leo Novemba 28, 2012
Mama mzazi wa marehemu Hussein Ramadhan Mkieti 'Shari Milionea' (wa tatu kushoto) akilia kwa uchungu nyumbani kwake Lusanga, Wilaya ya Muheza mkoani Tanga. Pembeni ni ndugu na jamaa wa marehemu.
 
 
 
  Picha: Kwa Hisani ya Jiachie.blogspot.com na GPL

3 comments:

Anonymous said...

poor king majuto....

natasha said...

mungu atawapa subra....uchungu jamani..mie nampenda sana sharo..nahisi uchungu...je...hao wafamilia? Mungu atatupa subra sote kwa wakati huu mgumu - kilichobaki..nikumuombea dua - mungu ailaze roho yake mahala pema na amsamehe madhambi yaki...inna lillahi wa inna ilayhi rajiun

natasha said...

mungu atawapa subra....uchungu jamani..mie nampenda sana sharo..nahisi uchungu...je...hao wafamilia? Mungu atatupa subra sote kwa wakati huu mgumu - kilichobaki..nikumuombea dua - mungu ailaze roho yake mahala pema na amsamehe madhambi yaki...inna lillahi wa inna ilayhi rajiun