ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 12, 2012

PITA PITA YA VIJIMAMBO NEW YORK WKND

 Mwana NjeNje kutoka North Carolina akiwa ndani ya jiji la wasilolala New York City pamoja na mtoto wake wakipata ukodak baada ya kukutana na mwanavijimambo wa NYC katika pita pita za hapa na pale. Mwana Njenje na mtoto wake walikuwa New York kwa weeknd kuja kupumzika kidogo na kufanya shopping kwa ajili ya Christmas kwani New York huu ndo wakati mzuri wa kufanya shopping kutokana na sales inayo endelea hadi mwisho wa mwanzo wa mwaka.
Ukodak kama kawaida mtoto wake Njenje akionesha alama ya vidole viwili kama ishara ya amani mbele ya ukodak
 Hapa wakiwa na mwenyeji wao Ny Ebra wakipata ukodak baada ya mizunguko ya hapa napale wakijionea jiji.
 Mtoto wa Njenje akipata ukodak na rafiki aliekutana nae katika pita pita zake za mitaa ya Time Square NY.
 Farasi wa New York nao awajali watoto 
Hapa wakiwa ndani ya subway hii ni moja ya usafiri maarufu sana ndani ya jiji la New York kuingia na pesa kutoka bure 24/7 Mwana Njenje na mtoto wake wakipata ukodak ndani ya train maarufu  kwa jina la subway.

No comments: