ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 5, 2012

Taswira mbalimbali Jinsi Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Jamii (SSRA)ilivyotoa Semina kuhusu sekta ya Hifadhi ya Jamii kwa Wabunge, Bungeni Dodoma

 Waheshimiwa wabunge wakifuatilia mada katika semina hiyo.Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Dkt. Emmanuel Humba akitoa maelezo kuhusu huduma za Mfuko Taifa wa Bima ya Afya kwa Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Pius Msekwa Dodoma
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Jamii Bi. Irene Isaka akiwasilisha maada kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu Sekta ya Hifadhi ya Jamii Nchini.

1 comment:

Anonymous said...

kazi nzuri Irene! Nilijua utafika mbali.
College-mate from Mlimani