Vijana wawili maarufu na makada wa Chama Cha Mapinduzi kutoka wilayani
Nzega, Hussein Bashe na Dkt. Hamisi Kigwangallah ambao wakati wa chaguzi
za ndani za chama hicho walikuwa mahasimu wakubwa, hivi sasa uhusiano
wao unaonekana tofauti kabisa.
Bashe (kushoto) akizungumza jambo huku wakiwa katika furaha na kada
mwenzake wa CCM, Nzega na Mbunge wa Nzega, Dkt. Kingwangallah(Kulia) nje ya
ukumbi wa Kizota wakati Makundi mbalimbali ya Mikoa yakipiga picha na
Mwenyekiti wa Chama hicho Rais Jakaya Kikwete. Picha na Maelezo na Mroki Mroki
No comments:
Post a Comment