Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa juu wa CCM katioka picha ya pamoja na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo ambapo wanachama wamempigia kura Mwenyekiti na makamu wake wawili
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Katibu wa CCM tawi la Diaspora UK Mariamu Mungula
Viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma. (picha kwa hisani ya Michuzi)



7 comments:
Jamani, mbona JK na huyo dada Mariam Mungula wako "benet" mno LOL
mimi naomba kuuliza mbona hawajatutangazia hapa USA ili kila mwanachama wa CCM anaeweza kwenda aende kizota?Wamechukuana wenyewe kwa wenyewe jamani si wangetangaza kwa kila mwanachama?ili mwenye chance ya kwenda aende kuchagua m.kiti? sasa mimi kama mwanachama nitajuaje kuwa kuna uchaguzi kama sijaambiwa na wenyeviti wa ccm usa? tafandali naombeni jibu.
Ndio mambo haya wengi wana CCM wenye msimamo tuliyakataa na kutoamua kujiunga na CCM hapa DMV. Yalianza kwenye kujiteua kwa urafiki au ushoga NOBODY VOTED FOR NO CCM LEADERS IN DMV, Tumelalamika???? na hakuna anayejibu. Mkutano wa kufungua tawi uliitishwa lini??? na uchaguzi wa kuwachagua hawa wanaodai kutuwakilisha ulifanyika lini?? Wengi ni wafata mkumbo tuu just because Mwenyekiti au Katibu ni rafiki yao basi na yao yanaburuzwa kama mazuzu. Lets not continue play with this CCM thing angalieni Chadema wameitisha mkutano waliokuwa viongozi wa mpito walioanzisha tawi wakawapa wananchi wapige kura za kidemokrasia na wakachagua viongozi wao. Sasa kwa nini hawa CCM leadera wasiitishe mkutano wa dharura na kuwaambia active member kuwa kuna nafasi 6 za kwenda kwenye mkutano mkuu wa CCM then mwenyekiti must go ofcourse sababu hii ni mara ya kwanza but all others wanaotaka kwenda wangejitokeza then wanachama wao wapige kura nani wanataka wawawakilishe na kama wana message yeyoye kwenda bongo let all members send it through the representative. THE WHOLE THING IS MESSED-UP SINCE DAY ONE, I CAN NOT WAIT TO VOTE. MTAKAPOITISHA MKUTANO WA KUCHAGUA VIONGOZI KWA KURA THEN MOST OF US WILL COME AND JOIN CCM. HATA NYERERE ALIEANZISHA TANU, ALIWAITA WANACHAMA WAKE NA WAKAMHALALISHA KWA KURA- YAA ALL NEED TO READ THE HISTORY OF CCM ITS A DEMOCRATIC PARTY NOT A KUBURUZWA BURUZWA TUU. ALIYEPIGA KURA YA KUMCHAGUA LOVENESS NA KINYEMI ANIJIBU.
AnonymousNovember 14, 2012 12:14 AM, Je wanachama wote wa CCM tungetangaziwa kwenda dunia nzima, tungetosha kweli kule Dodoma? ndio maana unaona viongozi wanawakilisha
Hao viongozi wamechaguliwa na nani? Unajuwa mahana ya kiongozi?
wewe nataka kuniambia wale wote walikwenda kizota ni viongozi????
huna idea mama weeeeee
Wee anonymous wa November 14, 8;48AM unazungumza pumba JIBU MASWALI WANACHAMA WA CCM WANAULIZA. NGOJA NIKUSAIDIE.
1. Mbona hawakuwatangazia wanacham safari ya Kizota??
2. Nani aliwachagua????
These are the point of discussion above all these individuals, na hakuna hata mtu mmoja aliyesema kuwa dunia nzima inataka kwenda Kizota. Please respond kama mswahili unayeelewa kiswahili. Just watch haya mambo yataleta mfarakano baina yao. Huko DMV kaaaaaaaaaazi kweli.
Post a Comment