VOA - Piga kura Marekani
Taarifa kwa wadau wa blogu ya Vijimambo. Ukitembelea tovuti ya www.voaswahili.com utapata fursa ya kupiga kura ya maoni kumchagua rais wa Marekani. Kura hiyo imeanza Jumapili na itaisha Jumanne, siku ya uchaguzi Marekani. Fanya sauti yako isikike Marekani
No comments:
Post a Comment