PROMOTERS "DMK" NA "J&P" WAMETHIBITISHA KUWA MWANAMUZIKI HAFSA KAZINJA KUTOA BURUDANI KABAMBE AKIPIGA LIVE SHOW NA BAND..ITAKAYO WASHIRIKISHA WANAMUZIKI MAHIRI KUTOKA ZAIRE,NGUMA LOKITO,JOHN BASH,RICHARD,MIKE NA MICHA.MITINDO SHOW ITAANZA SAA TATU USIKU,TIKETI ZOTE KUUZWA MLANGONI KWA KIINGILIO CHA DOLLAR $25 TU..FIKA MAPEMA USIPITWE NA BURUDANI YOYOTE.
No comments:
Post a Comment