![]() |
| Baadhi ya familia za wakazi wa mkoa wa Shinyanga ni wafugaji wakubwa. Pichani, Watoto wakipeleka mbuzi malishoni, katika Kijiji cha Kakora, Wilayani Kahama mkoani Shinyanga, wiki iliyopita. |
![]() |
| Bahati Mlolwa (8) akiwa amembeba mdogo wake, Manogwa Mlolwa (4) katika kijiji cha Kakora, Wilayani Kahama mkoani Shinyanga, wiki iliyopita |



No comments:
Post a Comment