ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 11, 2012

WAWAKILISHI WA MATAWI YA CCM MAREKANI WAHUDHURIA MKUTANO WA CCM DODOMA

Jengo la CCM Dodoma ambapo mkutano wa CCM unaendelea hivi sasa.
Wawakilishi wa CCM tawi la DMV wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM DMV Loveness Mamuya (kulia) Phanuel Ligate na Faraja Isingo (kushoto) wakipata picha ya pamoja  kwenye mkutano wa CCM Dodoma
Mwenyekiti wa CCM tawi la New York Maftaha (kushoto) akipata picha ya pamoja na wawakilishi wa CCM tawi la DMV Faraja Isingo, Phanuel Ligate na mwenyekiti wa CCM DMV Loveness Mamuya.
Wawakilishi wa CCM matawi ya Marekani wakipata picha ya pamoja wakati wa mkutano wa CCM Dodoma. kushoto ni Mwenyekiti CCM New York, Maftaha, Faraja Isingo, Phanuel Ligate, Mwenyekiti CCM DMV, Loveness Mamuya, Eliza Luhanga na Benjamin Mwaipaja 
Wawakilishi wa CCM tawi la DMV katika picha ya pamoja.
Wawakilishi wa CCM matawi ya Marekani wakipata picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (mahusiano na Uratibu) Mhe. Stephen Wasira


Phanuel Ligate (kushoto) katika picha ya pamoja na Kambarage Wasira ambaye ni mjumbe wa NEC ya CCM 
kutoka kushoto ni Phanuel Ligate, Kambarage Wasira na Benjamin Mwaipaja.
Kwa picha zaidi bofya read more


No comments: