Mshereheshaji Tuma akifanya vitu vyake kwenye Graduation Party iliyofanyika Jumapili December 2, 2012 kuwapongeza Felina, Felister, Maria na Rose waliokamata Nondoz siku ya Jumamosi Dcember 1, 2012 kwenye Chuo Kikuu cha Strayer.
Kutoka kushoto ni Felina, Rose, Maria na Felister wakiingia ukumbini Dino.s Dr, uliopo Burtonsville, Maryland kwenye sherehe ya kusherehekea kuhitimu kwao iliyofanyika Jumapili December 2, 2012.
Wakamata Nondoz wakiwa ukumbini tayari huku wakicheza wimbo walioingia nao
Felina, Maria, Rose na Felister katika picha ya pamoja
Wageni waalikwa wakiwapongeza Felina, Maria, Rose na Felister walipokua wakiingia ukumbini.
Rose, Felister, Maria na Felina wakiwatambulisha wageni wao waliofika kujumuika nao.
Felina, Flister, Maria na Rose wakikata keki.
Juu na chini wakilishana keki kama ishara ya kupongezana.
Baba mzazi wa Felister akiongea machache kuwapongeza Felister na wenzake pia kushukuru watu wote kwa kujumuika nao kwenye siku hii muhimu kwao.
Kaka ya Felister akiwa na mkewe ambao pia ni wazazi wa Maria wakitamburishwa.
Kwa picha zaidi bofya read more
2 comments:
HONGERA ZENU JAMANI, SI MCHEZO HAPA MTONI KUSOMA NA KULIPA BILLS SISI WENGINE TULIAMUA KULIPA BILLS TU SHULE ILITUSHINDA. KWA HIYO NIKIMUONA MTU KASOMA HAPA MTONI NA KAMALIZA KWA KWELI HUWAGA NAWAPA HONGERA SAAAAANA. MUNGU AWABARIKI JAMANI.
Asante sana.
Post a Comment