ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 3, 2012

Watanzania Waliowahi Kuishi America

Hello wadau, kama unahitaji pesa za ziada au huna economic activity to bring you an income for now unaweza kuwasiliana
nasi kusudi tukupe shughuli ya kufanya. Tunajua ugumu wa transition wa maisha kutoka maisha ya USA na ghafla
kuingia ya Bongo. Lazima uwe umeishi Marekani. Wale wa Texas na hasa Houston city wanapewa kipaumbele. Tuma Jina lako na namba yako ya simu kwenda email: talktalentnetwork@gmail.com, hatutaki ubabaishaji kwa
kuwa tukikupigia simu tutaongea nawe in American english, kabla ya kukutana nawe na kukuonyesha shughuli ya kufanya.

Tunataka kupunguza ugumu wa transition ili kumudu maisha ya bongo baada yale ya America, England,  Japan na kwingineko.
Dhumuni, ni kutaka wadau wakitoka nje waweze kuwekeza, watengeneze ajira kwa wananchi wetu na tulete mabadiliko nchini mwetu.


Talk Talent Network (TTN) - Tanzania America Link

4 comments:

Anonymous said...

Yeah right. Halafu ikiwezekana tuwapeni checking account number, baadaye nitume advance ya dola 250.00 au money order.

Jamani wabongo mbona mna kuwa Kama wanigeria?

Weka details zote chini Siri Siri za nini?

Anonymous said...

uwii, scammers inn bongo. Pls be very very careful with this deal

Anonymous said...

I think Vijimambo should be responsible with these kinds of misleading and vague adds by demanding full disclosures upfront otherwise it shouldn't be published. Vijimambo needs to protect its integrity by not allowing every garbage to pass through for the sake of our public.

Anonymous said...

Nataka kujua urahisi wa maisha ya mtu huyu kabla sijaamua chochote,wadau nipeni habari.