ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 12, 2012

Goldie Afunguka Na Kusema Hakuna Kinachoendelea Kati Yake Yeye Na Prezzo


Aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa mwanadada kutokea Nchini Nigeria maarufu kama Goldie Harvey amekanusha na kusema kuwa hana mahusiano yoyoyte ya kimapenzi na Msanii maarufu kutokea Nchini Kenya rapper Prezzoambae nae pia alikuwa ni mshiriki wa kwenye shindano hilo la Big Brother Africa 2012. Goldie ambae nae pia wiki chache zilizopita ametoka kutoa ngoma yake mpya akiwa amemshirikisha Ay kutoka hapa nyumbani Tanzania inayoitwaSkibobo, Star huyo ameweza kufunguka zaidi wakati alipokuwa akihojiwa na Televisheni moja maarufu ambayo ipo Nigeria, msikilize Goldie akielezea zaidi juu ya story hiyo....


No comments: