ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 12, 2012

VIDEO YA BIBI WA MIAKA 61 ALIEUWA JAMBAZI KWA BUNDUKI BAGAMOYO


December 6 2012 Bibi huyu aitwae Mwajuma Said Marwa Masaigana alivamiwa nyumbani kwake usiku wa kati ya saa 5 na saa 6 Bagamoyo Pwani Tanzania, majambazi walikuwa nane wakiwa na silaha kama bunduki na mapanga, na yeye alikuwa na bastola ambayo ilimsaidia kupambana nao kwa risasi kwa dakika kama 20 mpaka alipofanikiwa kumuua mmoja wao kwa risasi kupitia mlango ambao walikua wamekaribia kuuvunja.

No comments: