ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 7, 2012

YA KWELI HAYA ?



5 comments:

Anonymous said...

huu ni wizi tu hamna mapenzi wala nini,basi wanaume wakifanyiwa hivyo wanaona kama wanapendwa,kumbe wanaibiwa,picha ya 2

Anonymous said...

mdau umenena ...wanakimbilia huko halafu yakiwashinda wanabaki haa. na wa nyumba kubwa anafanya vile ana sababu za msingi, keshaona kuna nyumba ndogo ya nini kujisumbua kwa mtu ambaye ham-appreciate

Anonymous said...

nyumba ndogo my foot. kwanza kwa nini uvuliwe viatu kama si utumwa na unyanyasaji wa kijinsia then i don't know what to call it!

Anonymous said...

call love

Anonymous said...

Kwanza huyo wa nyumba ndogo ujue hauko peke yako,ukirudi kwa mkeo ana wanaume wake na si mmoja,unadhani atakaa doro wakati wewe uko kwako na mkeo na hakupati?na yeye anataka kuliwazwa na kukumbatiwa usiku wote,kumbuka na ukiwa na mke una time limit yeye yuko free,anakutumia tu pesa zako,halafu wewe kutwa kugombana na mkeo kwa ajili ya mpita njia ambaye hana hata wazo na wewe,yakikushinda mkitimuana na mkeo na yeye hakutaki au atakutaka kwa muda akutumie,wanaume-majuto ni mjukuu!bora upalilie mti wako kuliko wa jirani ambao hautokupa shukurani kamwe,always mkeo,mwanamke wako mnajuana muda mrefu atakuonea huruma lakini sio nyumba ndogo,au wanawake wa barabarani,ni hayo tu lakini yana ukweli ndani yake.Mwishowe magonjwa hakuna faida ila hasara na majuto.