ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 9, 2012

MAMBO YA SWAHILI FASHION WEEK YALIYOFANYIKA JANA NDANI YA GOLDEN TULIP HOTEL

Meya wa Manispaa ya Ilala Mh Jerry Silaa akiwa katika Red Carpet ya Swahili Fashion Week iliyofanyika Jana ndani ya Hotel Ya Golden Tulip
Mmiliki wa Lukaza Blog, Josephat Lukaza Akiwa kwenye dhuria jekundu la Swahili Fashion Week 2012 Iliyofanyika Jana Katika Hotel ya Golden Tulip
Kwapicha zaidi bofya read more

 
 Marting Kadinda akiwa amebeba Tuzo yake Baada ya Kuibuka MShindi huku akishangiliwa na Models wake
  Mmiliki wa Missie Popular Blog akiwa na Tuzo yake mara baada ya blog yake kuibuka mshindi wa fashion Blog
Best East Africa Modal- Joseph Kimeu

Baadhi ya wadau waliohudhuria kushuhudia mashindano hayo ya Swahili fashion Week 2012 yaliyofanyika Ndani ya Hotel ya Golden tulip Usiku wa Jana. Kwa Picha Zaidi 

No comments: