Saturday, December 22, 2012

MISA YA KUMUAGA MZEE KOMBE, JUMAMOSI, BAADA YA MISA CHAKULA NI COLLEGE PARK


Leo Jumamosi tarehe 22,December 2012 saa sita kamili mchana(12:00 noon)kutafanyika misa na pia kuuaga mwili wa marehemu Mzee wetu Alexander Minja Kombe katika kanisa la St.Camillus lililopo:
1600 Camillus Drive
Silver Spring,MD 20903
Tafadhali fika mapema.

Baada ya misa unakaribishwa kushiriki na familia katika chakula cha mchana , College Park katika anuani ifuatayo:
3621 Campus Drive,
College Park, MD 20740

Kwa maelezo zaidi wasiliana na wafuatao:
George Kombe-240 476 3260
Leslie Kombe-240 386 7583
Stella Kombe-301 281 1116
Dorice Mushi-240 688 3219
Jerome Kassembe-240 682 6067
Baraka Daudi-301 792 8562

Tafadhali tumia account ifuatayo kwa michango ya rambi rambi:
Jina:Julia Shirima
Bank:Bank of America
Routing:052001633
Account:44 60 25 80 85 24

Asanteni.

No comments: