Advertisements

Friday, December 14, 2012

MSIBA SPRINGFIELD,MA NA TANZANIA

Mzee Mwandemani Enzi ya uhai wake
Mzee wetu Edson Mwandemani amefariki mchana wa tarehe 12/14/2012 katika hospitali ya Bay State Medical alikokuwa amelazwa.
Tangazo la msiba: kwa niaba ya Richard Mwandemani tunasikitika kutoa taarifa za msiba wa baba yake mzee Edson Mwandemani kilichotokea leo mchana hapa Springfield, Mass. Msiba uko nyumbani kwa Richard 

113 Enfield Street, Indian Orchard, Ma 01151. 

Mipango ya mazishi inaendelea ili mzee wetu aweze kurudishwa nyumbani Tanzania. Tafadhali ungana nasi kuwafariji wafiwa kwa hali na mali. Tutatoa taarifa zaidi baadae namba ya simu ya 

Richard ni 
(413) 262-0400 
Isaac Kibodya
 (413) 219-1153
na Kawala Mgawe 
(413) 330-1609

No comments: