Wednesday, December 26, 2012

RAIS KIKWETE ASHEREHEKEA KRISMASI KWA KUANGALIA MCHEZO WA SOKA KATI YA HOTELI ZA SERENA NA FOUR SEASONS MBUGANI SERENGETI ‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nahodha wa timu ya hoteli ya Serena Jamali Kitonga kombe la Ujirani mwema baada ya timu hiyo kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara jana. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Nahodha wa hoteli ya Serena Jamali Kitonga akifurahia baada ya kukabidhiwa kombe la Ujirani mwema na Rais Jakaya Kikwete baada ya timu yake kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara jana. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla ya kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Mabingwa wa Kombe la Ujirani Timu ya hoteli ya Serena wakifurahia ushindi baada ya kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara jana. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla ya kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua timu ya hoteli ya Serena kabla ya kucheza na hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara jana. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla ya kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiikagua timu ya hoteli ya Four Seasons Safari Lodge kabla ya kucheza na hoteli ya Serena katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara jana. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla ya kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na timu ya hoteli ya Four Seasons Safari Lodge.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na timu ya hoteli ya Serena.

(PICHA NA IKULU)

No comments: