Wednesday, December 26, 2012

RASHARASHA ZA SNOW ILIYOANGUKA DMV

 Juu na chini ni picha za rasharasha ya snow iliyoanguka mapema Jumatano December 26, 2012 asubuhi maeneo mengi ya DMV na kusababisha watumiaji wa vyombo vya moto na waenda kwa miguu kuwa waangalifu zaidi na baadae mchana halijoto iliongezeka na snow kugeuka kuwa mvua iliyosaidia kusafisha barafu iliyokua inaleta utelezi
 Picha juu na chini ni maeneo ya Arlington, Virginia mtaa wa Monroe jinsi nyumba za wakazi wa maeneo hayo zilivyokua zikionekana.

No comments: