Saturday, December 22, 2012

Shughuli za kuuaga mwili wa marehemu zitafanyika leo Jumamosi

Photo: Maendeleo ya msiba wa mzee wetu Edson Mwandemani:

Shughuli za kuuaga mwili wa marehemu zitafanyika Jumamosi Desemba 22, 2012 kuanzia saa tano asubuhi (11am-3pm) mpaka saa tisa alasiri ambapo 11am kutoa heshima za mwisho, 12noon -1pm ibada maalum ya kumwombea marehemu na baada ya hapo kutakuwa na nafasi nyingine ya kutoa heshima za mwisho kwa wale watakao kuwa wamechelewa.

Bado tunaendelea kukusanya michango kupitia account ya mwanae marehemu bwana Richard Mwandemani maarufu kama DJ Rich Maka Bank Of America Routing number 011000138 account #004643403251

Kwa habari zaidi waweza kuwasiliana na DJ Rich Maka mwenyewe 413-262-0400, Isaac Kibodya 413-219-1153 au Kawala Mgawe 413-330-1609

Tunatanguliza shukran zetu za dhati.
Shughuli za kuuaga mwili wa marehemu zitafanyika Jumamosi Desemba 22, 2012 kuanzia saa tano asubuhi (11am-3pm) mpaka saa tisa alasiri ambapo 11am kutoa heshima za mwisho, 12noon -1pm ibada maalum ya kumwombea marehemu na baada ya hapo kutakuwa na nafasi nyingine ya kutoa heshima za mwisho kwa wale watakao kuwa wamechelewa.
 Shughuli hizi zitafanyika Bryon Keenan Funeral Home, 
1858 Allen Street, 
Springfield, Ma 01118

Bado tunaendelea kukusanya michango kupitia account ya mwanae marehemu bwana 
Richard Mwandemani maarufu kama DJ Rich Maka
Bank Of America Routing number 011000138 account #004643403251

Kwa habari zaidi waweza kuwasiliana na 
DJ Rich Maka mwenyewe 413-262-0400, 
Isaac Kibodya 413-219-1153 
au Kawala Mgawe 413-330-1609

Tunatanguliza shukran zetu za dhati

No comments: