ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 17, 2012

TAMASHA LA SHANGWE LAFANA MJINI BUKOBA

Mwimbaji wa Nyimbo za Injili,Rose Muhando akitumbuiza kwenye Tamasha la shangwe 
Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha  hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya  kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa kagera.
Mwimbaji wa  Nyimbo za Injili,Enock Jonas(Zunguka) akitumbuiza kwenye Tamasha la 
shangwe Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa  wiki,tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa  ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa kagera.


Masista wa Kituo cha Tumaini Children’s Centre, Sr.Adventina Kyamanywa (kushoto) na
Sr.Esther wakijadiliana jambo wakati wa tamasha la shangwe Kagera katika viwanja vya Kaitaba mjini Bukoba.
Mkurugenzi wa Beula Communication, Melkzedek Mutayabarwa akizungumza kwenye Tamasha 
laShangwe Kagera,ambapo kampuni hiyo ndio iliyoandaa tamasha hilo. 
kwa picha zaidi bofya read more
Mkuu wa Wilaya Bukoba,Zippora Pangani akihutubia kwenye Tamasha la shangwe 
Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa kagera.

Waimbaji wa kwaya ya Vijana ya KKKT Usharika wa kanisa Kuu la Mjini Bukoba wakitumbuiza kwenya tamasha la Shangwe Kagera.
Rose Muhando akiwaburudisha viongozi walioudhuria Tamasha la Shangwe Kagera katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

No comments: