ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 30, 2012

Tazama vizuri hii picha....halafu Sema maneno Mawaili tuu

14 comments:

Anonymous said...

Mkorogo na kucha, ewwh!! nasty!!

Anonymous said...

Mkorogo na kucha, ewwh!! nasty!!

Anonymous said...

Hinna imekataa kutoka!! au mkorogo feki umemuunguza bidada!

Anonymous said...

Rangi ya kucha nzuri.

Anonymous said...

carolite hiyo {mkorogo}

Anonymous said...

Mkorogo umedunda.

Anonymous said...

Urembo gani huo? Mnajitafutia kansa za ngozi bila kujua, kwani mkibaki na ngozi zenu asilia hampendezi mpaka mjikoboe kama nyoka au mpunga?Looh?????aibu kinadada na kinakaka,weupe wa madukani? Wa kununua?

Mkorogo umekataa,mikono kama hiyo imejaa hapa DMV. Rangi ya dhahabu si kwa kila mtu yakhee

Anonymous said...

Vidole nane-Rojo la pweza,Toronto.

Anonymous said...

Mmeambiwa kusema maneno mawili tu mnaanza kuandika barua fuateni maelekezo

Anonymous said...

Acha mgorogo

Anonymous said...

Umekuwa Ngedere?