Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiizindua rasmi Skuli Mpya ya Sekondari ya Mikindani Dole Wilaya ya Magharibi ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Balozi Seif akiangalia Maabara ya Skuli ya Sekondari ya Mikindani Dole ambayop imekamilika mahitaji ya vifaa kwa wanafunzi wa skuli hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanziubar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia moja ya daraza la Skuli ya Sekondari Mikindani Dole wilaya ya Magharibi mara baada ya kuiozindua Skuli hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimpongeza Mwakilishi wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Uchumi na Elimu Bwana Nobuyuki Tanaka ambaye Taasisi yake imegharamia ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Mikindani Dole.
No comments:
Post a Comment