ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 12, 2013

KILELE CHA MIAKA 49 YA MAPINDUZI MJINI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduizi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia Mkono wananchi waliopita mbele ya Jukwa kwa Maandamano ya Sherehe za Kilele cha Miaka 49 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar
  Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda,Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama mwanamwema Shein,na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Davis Mwamunyange,wakiwa katika Jukwa la VIP katika kilele cha Sherehe za Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduizi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kwa wananchi wa Zanzibar kupitia katika sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapunduzi Matukufu ya Zanzibar huko Uwanja wa Amaan Studiuma Mjini Zanzibar jana,kuhudhuriwa na Maelfu ya wananchi mbali mbali Mjini na Mashamba
  picha juu na chini ni Miongoni mwa Wananchi wa Zanzibar wa Mikoa tofauti waliohudhuria katika Kilele cha Sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja waAmaan Mjini Zanzibar
kwa picha zaidi bofya read more

  Waziri Mkuu Mstaafu Lowasa,Mama Shadya Karume na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho,wakifuatilia kwa makini ratiba ya sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar
Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Wanawake kikipita mbale ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa pole,katika sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar
  Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja,wakipita mbele ya> Mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduizi Dk.Ali Mohamed Shein,kwa Maandamano ya Sherehe za Kilele cha Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar
Kikosi cha Jeshi la Mafunzo la Serikali ya Mapinduzi Wanaume kikipita mbale ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa pole,katika sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar
  Kikosi cha Jeshi la (KMKM) Kikosi cha kuzuia Magendo Wanawake kikipita mbale ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa pole,katika sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar
  Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Wanaume kikipita mbale ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa haraka, katika sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar
Kikosi cha Jeshi la (JKU) jeshi la Kujenga Uchumi, Wanaume kikipita mbale ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa haraka,katika sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar
Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikipita mbale ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa kuruka ruka,katika sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar
 Kikosi cha Jeshi la (KMKM) Kikosi cha kuzuia Magendo Wanaume kikipita mbale ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa haraka,katika sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]


PICHA ZINGINE ZA KILELE CHA MIAKA 49 YA MAPINDUZI
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Ameir Pandu Kificho, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,  Edward Lowassa, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.
 Viongozi mbalimbali wa Kitaifa walihudhuria sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amani mjini Zanzibar leo.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikagua gwaride la Vikosi vya ulinzi katika kilele cha sherehe za kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wakati alipomaliza kukagua gwaride la  Vikosi vya ulinzi katika kilele cha sherehe za kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zabzibar.{Picha na Ramadhan Othman,IKULU.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho  Kikwete,alipowasili katika Uwanja wa Amaan katika Kilele cha Sherehe za Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar DK.Amani Abeid Karume,alipowasili katika Uwanja wa Amaan katika Kilele cha Sherehe za Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar DK.Salmin Amour Juma,alipowasili katika Uwanja wa Amaan 
katika Kilele cha Sherehe za Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo.
Picha kwa hisani ya Jiachie Blog

No comments: