BONGO YETU NA MITARO YETU
Baadhi abiria wakipanda daladala lililoegeshwa kando ya mtaroulio wazi, kitendo kinachohatarisha usalama wao, kama walivyokutwa kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Mbagala eneo la Shule ya Uhuru Kariakoo, Dar es Salaam jana. (Picha na Peter Twite)
No comments:
Post a Comment