ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 2, 2013

FUNGA MWAKA DMV ILIKUA SI MCHEZO

Uncle George katika picha ya pamoja na mkwewe
Asha katika picha ya zuria jekundu
DMK katika kivazi cha KWETU fashion Design by Missy Temeke
Carol katika zuria jekundu
Nargis Ameir katika zuria Jekundu

4 comments:

Anonymous said...

Ni mategemeo yetu kuwa DMV ina viomzi wasomi ambao walogombea kwa hiari yao kuipeleka jumuia yetu mbele. Chakushangaza nikuwa mambo yaliyotokea siku ya funga mwaka hayategemewi kufanywa na wasomi hawa. Walitangaza kiingilio kupitia matangazo yao bila kusema which forms of payment wa acceptable. Pia baada ya kuingia, tukakuta vinyaji vinauzwa, which is ok, ingawa haikutangazwa hapo nyuma. Halafu wanachukua cash only. Mbaya zaidi viongozi hawa walishindwa kueleza ATM ya karibu ili watu wakachukue pesa. Kuna watu walifika mlangoni bila cash muda mfupi kabla ya 11pm ili kuwahi kulipa kiingilio cha $ 10. Kwavile walitakiwa kutafuta ATM, walirudi baada ya 11pm ikawalazimu walipe $ 20. Kingine cha kusikitisha, wasomi hawa walitangaza kwa kishindo ujio wa Lokasa Yambongo na Ngouma Lukito. Sielewi wasomi hawa kama walizingatia elements of contract which are offer,acceptance, and consideration. That is the best way to secure contract whether oral or written. Kama hayo mambo yangefanyika, tungepata burudani toka kwa hawa magwiji wa muziki ambao wengi wetu tulikubali kununua bia kwa $ 4 ili kuwaona. Baada ya mambo yote haya kutokea tulitegemea wasomi hawa kutoa maelezo na kuomba msamaha kwa usumbufu uliotokea. Based on that analogy, I'm sorry to call DMV leaders as "stupid". Now it is possible that they were born stupid, or they learn stupidity, unless they prove otherwise.

Anonymous said...

Anonymous wa kwanza,nimekubali yote lakini hakuna haja ya kutukana ,name callin etc. Hapo wewe ndio unaonekana "st...p". Maelezo yako yatasaidia 4 future noone is perfect. Lakini tusiconcentrate na 10% of shortcoming,lets look at the big picture,they deserve congrats! Na lazima constructive criticism bila kuvunjianasgaa adabu tuwe waastaarabu. Big up brother Iddi na the crew,thnx,was da best parrrrtyyy!
.

Anonymous said...

I think an appology can clear the air much better.Let's learn from Americans. The screw things up, they appogize, and they move on. As long as there is none, stupid stigma continues to rock. They can prove otherwise if they want.

Anonymous said...

Kiswahili ni lugha yenye heshima na ustaarabu uwe ni msomi au si msomi. Hakuna shughuli isiyo na kasoro na kama wewe ni mwana DMV ITS SHAME ON YOU!!!!! Sababu huna shukrani kwa jambo lolote lile. Umekaa nchi hii miaka mingapi kujua kuwa unahitaji kushika mshiko wa cash. UNLESS PARTY IPO KWENYE HOTEL WITH BAR SERVICE NA CREDIT CARD MACHINE. NA KAMA UNA SMART PHONE WHICH I BELIEVE KAMA WEWE NI MWENYE AKILI BASI HUNA HAJA YA KUMWULIZA MTU YEYOTE ATM ipo wapi unless bado unatunia simu dume. For $10 or $20 U GOT GOOD MUSIC FROM OUR DJ LUKE, FREE FOOD SO WHY U THINK JUMUIYA HAVE TO GIVE YOU FREE DRINK TOO! Kama ni mwana DMV unajua fika huu umoja umeanza na ZERO BALANCE SO U GAT TO BE THANKFUL KULIKUWA NA PARTY NA KINA DADA WAMEJITOLEA KUPIKA VYAKULA KWA PESA ZAO, UMEME WAO NA VIUNGO VYAO. HAKUNA MFUKO WA CHAKULA UKIOKUWEPO. NA TUMEFURAHI MAPILAU YALIKUWA YANANUKIA, MAKUKU, BAJIA COME-ON PEOPLE IN DMV HEMBU TUONYESHE UUNGWANA NA KUWAPA PRAISE THESE LEADERS FOR WHAT THEY DID. MIAKA MINGAPI HATUJASHEHEREKEA PARTY YA MWAKA MPYA KAMA JUMUIYA?? SIYO KWENYE MA-CLUB NA WATOTO WETU?? PLEASE IDDY NA UONGOZI WOTE WA JUU BIG-UP NA LETS SONGA MBELE NA TUACHANE NA NEGATIVITY KAMA HAFSA KAZINJA ALIVYOSEMA KWENYE MWIMBO HUU.2013 NEW YEAR PARTY WILL BE IN MARIOTT!!!!!!!!!!!!!http://www.youtube.com/watch?v=-Rrw_AXR39o