Advertisements

Tuesday, January 8, 2013

HAPA NA PALE YA VIJIMAMBO WEWE UKIUMIZA KICHWA KUTAFUTA MI CORAL RIGHT MZUNGU AKIBUKUA JINSI GANI KUWA MWEUSI

Jamaa aki-bukua kwa makini kitabu kuona jinsi mweupe anavyoweza kuwa mweusi, wakati huyu anahangaika hivi wapo watu weusi wanaohangaika kuwa weupe na kuona kuwa Black ni laana, hivyo kulazimika kutumia gharama nyingi kujipausha wawe weupe.

No comments: