Advertisements

Tuesday, January 8, 2013

PITA PITA YA VIJIMAMBO BROOKLYN, NY

Pita pita Brooklyn, Ny hapa ni Gentle Dental Care Clinic ya meno iliyo chini ya Mke wa Mtanzania Mzee Temba, Kwa wale wanyekuitaji huduma ya meno wana weza kutembelea hapa na kupata maelezo juu ya huduma unayotaka kwani unaweza kupata huduma hiyo kwa bei nafuu na kwa payment plan. Hapa  ni Mr Nyagaly na Prof Magawa wakipata maelezo kutoka kwa mke wa mzee Temba ndani ya Clinic hiyo hiliyopo Brooklyn, NY.
Kutoka kushoto ni Mke wa mzee Temba, Prof Magawa, Prof. Nyagaly na wa mwisho ni Family Friend wa Mzee Temba. Mzee Temba pia ni C.E.O wa T.E.S. na mke wake ni Dr. wa meno.
kwa picha zaidi bofya read more
Nyumbani kwa mzee Temba Brookyn, NY
Kushoto ni Mzee Temba akipata ukodak ndani ya nyumba yake

No comments: