ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 20, 2013

HAPA NA PALE YA VIJIMAMBO

Mr Nyagaly Technician wa T.E.S akiweka mambo sawa katika mashine ya kutengenezea sausage baada ya kukorofisha. T.E.S inatarajia kuanza contract/scope of work for building a Food Drying System at the Muirkirk Research Farm for post-harvest food preservation and value addition for Ethnic and Specialty Crops (Grants Awarded) as well as the Aquaponic Fish Production System soon to be installed also through our Specialty Crop Award 2012 Washington University kazi hii itachukua miezi 3 na inadhaminiwa na World Bank. Na T.E.S wapo kwenye process ya kwenda kufunga machine kama hizi pale Mwanza Tanzania kwa ajili ya kukausha samaki wanaovuliwa katika ziwa victoria na Tanganyika. Na Pia kufunga mashine za kutengeneza sausage pale Arusha Tanzania.
Hapa Mr Nyagaly akifungua machine ya air systems pollution baada ya sensor kuleta mushikri na ilihitajika kubadirishwa hili machine ifanye kazi yake ya sawa.
Motor imesha funguliwa tayari kutaka kurekebishwa.
Machine inataka kujaribiwa baada ya tatizo kurekebishwa
Mfanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza sausage akipata ukodak na Technician wa T.E.S. Machine hizi zilizo tengenezwa na kufungwa na T.E.S ziki korofisha haziwezi kurekebishwa na mtu yeyote zaidi ya T.E.S wenyewe.

1 comment:

Anonymous said...

bora imepata kibarua ebra upunguze kupuyanga