
Kuna habari kwamba mchezaji kipenzi wa timu ya Chelsea F.C. ya Uingereza Frank Lampard huenda akijiunga na timu ya LA Galaxy ya Marekani, mchezaji mwingine Muingereza, David Beckham ambaye alikua akiichezea timu hiyo ya California kwa sasa ni muda kama miezi 2 tangia aamue kutundika daruga.
Frank Lampard aliambia Goal.com amekubali kujiunga na LA Galaxy lakini msemaji wa LA Galaxy alipoulizwa hakukubali wala kukanusha kwa mchezaji huyo kujiunga na timu yao.
No comments:
Post a Comment