Advertisements

Tuesday, January 1, 2013

MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA BONDIA DOTO KIPENGA

Waumini wa dini ya Kislam wakiombea duwa jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Doto Kipenga
Bondia wa timu ya Taifa Selemani Kidunda mbele akiwa amebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya Kigogo Mburahati siku ya Januar Mosi 


Bondia wa timu ya Taifa ya Masumbwi Selemani Kidunda akiwaongoza wenzie kulibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya Kigogo Mburahati siku ya Januar Mosi 

Bondia wa ngumi za kulipwaJaphert Kaseba akiwaongoza wenzie kulibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya Kigogo Mburahati siku ya Januar Mosi 

Bondia wa ngumi za kulipwaJaphert Kaseba akiwaongoza wenzie kulibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya Kigogo Mburahati siku ya Januar Mosi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: