Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake Mama Asha amewahasa vijana hususan wanafunzi hao waliohitimu masomo kutokukubali kutumika na watu wenye maslahi binafsi na kujikuwa wakisababisha uvunjifu wa amani. Aidha amewataka kutojihusisha na makundi yanayochochea uvunjifu wa amani bila kujitambua wafanyalo, badala yake amewambo kuwa wakipima kila wanaloambiwa kuwa linamaslahi na dini yao ama maslahi kwa jamii na taifa kwa ujumla. Picha Zote na www.sufianimafoto.blogspot.com
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita, Latifah Nuhu, wakati wa sherehe za mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita, Mwinga Gwao, wakati wa sherehe za mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam.
kwa picha zaidi bofya read more
kwa picha zaidi bofya read more
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi mhitimu wa Kidato cha Sita, Zuhura Azmin, kwa kuwa mmoja kati ya waliofanikisha sherehe za mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wahitimu wa kike wakiwa katika mahafali hayo leo.
Baadhi ya wahitimu wa kiume, wakiwa katika mahafali hayo leo.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita, Khadija Hassan, wakati wa sherehe za mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam.
Dua baada ya shughuli hiyo kukamilika.
Mama Asha, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wanafunzi wahitimu wa kidato cha sita, baada ya zoezi la kugawa vyeti kwa wahitimu.
Copyright 2007-2012 @KAJUNASON
5 comments:
Hivi hatuwezi kuwa waislam mpaka tuvae makanzu na tuwafunike dada zetu namna hii? Sisemi kuwa hijab ni mbaya lakini sidhani kama hijab na makanzu ndio uislam...
wewe mdau (anonymous) inakuhusu nini mavazi,imani haikuhusu hayo ni maamuzi yao waache walivyo na imani yao na we ukitaka vaa ukitaka acha hakuna atakae kuuliza swali kwa kuvaa au kutovaa hivyo.na kwani masista wa katoliki hawawezi kuwa masista hadi wavae vilemba na mabradha kuvaa majoho?kuna vitu vingine haviulizwi vinaachwa vilivyo.
Kwani hii ni shule ya masister? Hebu tupunguze ulimbukeni.. shule za kikatoliki wanavalisha wanafunzi kama masista/ wachungaji? Unajijibu mwenyewe bila ya ufahamu: ( Haya makanzu ni mavazi ya waarabu na kama ulipitia Science kidogo kwa joto la Bongo unavaa vipi majoho meusi mwili mzima? Uislamu sio manguo ya waarabu.. tusome na kuelewa dini sio kukopi tamaduni zisizokuwa na tija... Hawa ni wataalamu wa kesho sio masheikh ...Mbona hatuvai kanzu/ hijabu makazini? Kwa akili yako unafanyaje kazi na majoho mwili mzima? Tuwaachie masheikh na mapadre mambo haya tusiwachanganye wanafunzi.. wengi wetu tulikuwa tukifikiri Islam ni kanzu: (
sijaona tatizo hapo hii ni shule ya kiislamu kwa hiyo mavazi yatakua yakiislamu pia.Hii kusema ni mavazi waarabu na sio utamaduni wetu hayo mavazi yetu yakitamaduni ni yepi? MIMI NADHANI MDAU HAPO JUU ALITAKA AONE VIMINI NA VITOP KWA SABABU WAMESOMA. ELIMU HAIKUFANYI UACHE MAVAZI ULYOYAZOEA
Jamani hizi topic za dini ziko very sensitive it's better not to comment kama hamuna cha kusema. As a muslim woman I am required to dress up in modesty that means naweza kuvaa chochote nachokitaka ndani but the outer garment worn in public must cover all of the body except the face and hands. Furthermore, we believe that our religion is that which has been transmitted to us through the Prophet Mohammed (saws), his companions and our pious predecessors. A careful study of relevant Qur'anic ayat (verses) and Hadith (Prophetic traditions), along with the works of our pious predecessors, will reveal a strict emphasis on the need for women to observe modesty in their dress when they appear in public, by covering all of their bodies and any ornaments or other means of beautification they might wear. Sasa nani kasema makanzu marefu ni utamaduni wa kiarabu?!!! wacheni ulimbukeni musiingilie mada kama hamuna credible evidence za kusupport maoni yenu.
Post a Comment