Mshumaa kwa wale walio enjoy starehe za kiukweli miaka ya 80s
Mshumaa huu unanikumbusha Disco Toto YMCA wakati huo Space 1900 ikiwaburudisha Vijana ambao walikua hawaruhusiwi madisco ya wakubwa Disco lilikua likianza saa 10 jioni na kumalizika saa 2 usiku Enzi hizi DJ Super Deo na mimi mwenyewe tuliwapa raha vijana akiwemo DJ Joe wa Washington, DC enzi hizo Dj Joe alikua miongoni mwa hawa watoto namkumbuka kijana mmoja enzi zile alikua anakuja na ngedere mgongoni na muda waote anapocheza Ngedere wake hatoki mgongoni.
No comments:
Post a Comment