ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 25, 2013

SNOW ZAIDI KUANGUKA LEO IJUMAA DMV

 Snow kiduchu iliyoanguka DMV Alhamisi January 24, 2013 ambayo haikuleta madhara makubwa kwa waendesha magari, baridi bado ni kali maeneo haya ya DMV iliyopekea shule nyingi kufungwa leo na watabili wa hali ya hewa wamesema snow nyingine itashuka leo mida ya saa 9 alasili ET kiasi kitakachoanguka ni inchi 1 mpaka 3 na huenda ikasababisha msongamano wa magari kwa hiyo hakikisha una gas (petrol) ya kutoka kwenye gari yako
 Baadhi ya mitaa DMV upande wa Maryland
 Baadhi ya mitaa Washington, DC ilivyokua ikionekana jana Alhamisi
 Barabara nyingi zilimwagiwa chumvi mapema kusaidia kuyeyusha snow
 Mtaa wa 13 NW washington, DC
Magari yakipita bila shida yeyote mitaa ya Washington, DC

No comments: