ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 4, 2013

MWAANAJESHI ALIYEPIGA PICHA NA LEMA MBARONI


Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa mbaroni kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police.

Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha. Ila amekuwa akivaa ngo hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa merarani wanamtambua kama mwanajeshi
CHANZO: THE CHOICE

No comments: