Baada ya mapumziko ya xmas na mwaka mpya T.E.S warudi kazini kwa kasi hapa ni C.E.O wa T.E.S akipata maelezo kutoka kwa Engineer wa Machine za kuchomea sausage kukorofisha. Shida ya machine hiyo ni upande mmoja ulikuwa unashindwa kutoa joto la kutosha kuweza kuchoma sausage hizo kwa kiwango kinachotakiwa. Kwahiyo machine hiyo ilitakiwa kufanyiwa ufundi wa kitaalamu ili iweze kufanya kazi yake kwa kiwango kinachotakiwa.
Baada ya C.E.O kupewa maelezo juu ya shida hiyo ndipo Technician wa T.E.S alipoenda kulifanyiakazi tatizo hilo. Hadi T.E.S wanaondoka kiwandani hapo mambo yalikuwa sawa.
Sausage sikiwa ndani ya mashine hiyo tayari kwa kutaka kuchomwa baada ya mashine kutengemaa
Sausage ndani ya mashine zimeisha kuwa tayari kwa matumizi ya binadamu zikiwa zimetayarishwa kwa kiwango kinachikubalika.
Kazi moja tu hadi mashine ilifanyekazi, hiyo nikazi ya T.E.S company iliyo chini ya Mtanzania hapa Brooklyn, NY.
3 comments:
Watch your Swahili ,what is Mahelezo ,kitaharamu ,kukamirika ,kinachokubarika
Aksante kwa maoni yako.....
Post a Comment