RAIS KIKWETE AMALIZA ZIARA YAKE YA KISERIKALI NCHINI UFARANSA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza ziara yake ya Kiserikali ya Siku tano nchini Ufaransa leo, Januari 23, 2013. Zifuatazo ni picha mbalimbali wakati akiagwa na mwenyeji wake, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Orly, Ufaransa.
No comments:
Post a Comment