ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 12, 2013

RODGER'S EXPORTS LLC

 RODGERS  EXPORTS  L L C

Tunawatangazia watanzania wote na marafiki, kwa wale wanaopendelea kusafirisha mizigo
kwa njia ya contena kutoka U.S.A kwenda Zanzibar na Dar-es-salaam Tanzania,usafiri sasa
utakuwepo Feb-5-2013,ukusanyaji wa mizigo Northern States, CT,NY,NJ utafanyika kuanzia Jan19thru- Jan-20. vile vile ukusanyaji wa mizigo South na Midwest, GA,NC,VA,OH,PA,DL,MD,DC,utafanyika Jan-26thru- Jan 28, na vile vile tunawatangazia watu
wote tumeanzisha huduma mpya ya.
FedEx Ground: All you need to do is drop any boxes or suitcases at any FedEx office with no charge to you for sending and they will deliver straight to Us.  Contact Haji at 919-672-6063 for more information on this new service or visit our website atWWW.RODGERSEXPORTS.COM.  Thank you for your Business.

No comments: