ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 14, 2013

SIRI NI WATU WAWILI LAKINI SIKU IZI NI TOFAUTI MABABU NA MABIBI ZETU TU NDIYO WALIWEZA KUTUNZA SIRI

Najua ungependa kujua wadogo zangu  hawa hapa walikuwa wanaambiana nini. Na je huyo mmoja ingawa yupo makini kusikiliza siri hii  na kuamua kuziba sikio la upande wa pili ili siri hiyo isiweze kupitiliza na ibakie ndani ya kichwa chake jibu ni je?. Ataweza kutunza siri hii nakubakia kuwa siri ya watu wawili.

No comments: