Advertisements

Monday, January 14, 2013

Wema Sepetu Aachia Lebo Ya Kampuni Yake Mpya

Mwanadada machachari kutokea kwenye Industry ya Filamu Tanzania, Wema Sepetu kwa mara ya kwanza kupitia mtandao wa picha unaoitwa Instagram ameachia picha ambayo inaonesha ni logo ya kampuni yake mpya ya EndlessFame Film. Kampuni ambayo aliitangaza kipindi cha nyuma ambayo itakuwa inajihusisha na maswala ya filamuTanzania.

Sambamba na kuachia picha hiyo Wema amewataka Watanzania kumwombea Dua ili kufanikisha adhma yake hiyo ambayo itakuwa na msaada mkubwa kwenye sanaa ya filamu Tanzania na hata kuinua vipato vya Wasanii.

No comments: