Saturday, February 9, 2013

AJALI MBAYA KIBAMBA DARAJANI, DAR ES SALAAM

 
Hivi Ndivyo Gari hili lililo beba Mbao limeanguka 
Mwili wa Marehemu Dereva kwa Mbele ukiwa umekandamizwa na Lori lililobeba Mbao 
Huu ni Mguu wa Dereva ambaye amekandamizwa na Gari hilo 
Baadhi ya wananchi wakiangali jinsi ya kulinashua lori
Picha zona Dar es Salama yetu

No comments: