Thursday, February 7, 2013

ALLY REHMTULLAH AWASILI JFK NEW YORK


Ally Rehmtullah akiwasili New York City hapa akiwa JFK na mwenyewe wake Professor Magawa aliyeenda kumpokea uwanjani hapo. Rehmtullah amekuja Marekani kuwakilisha East Africa Harvard business school katika Africa business conference. Conference hiyo itafanyika tarehe 16 mwezi huu uko Harvard University Boston.
Hapa Ally akiwa na mizigo yake akitoka nje ya JFK Airport tayari kwa safari ya kuelekea downtown Manhattan New York City.
kwa picha zaidi bofya read more

No comments: